Kazi/Occupation
Msamiati / Vocabulary
- Askari
- police
- daktari
- doctor
- Hakimu
- judge
- karani
- clerk
- kocha
- coach
- nahodha
- captain
- mchezaji
- player
- Meneja
- Manager
- Mhandisi
- Engineer
- mhasibu
- accountant
- mhudumu
- waiter or waitress
- mkulima
- farmer
- Mkunga
- midwife
- mpiga picha
- photographer
- Mpishi
- chef
- mtafiti
- researcher
- Mtangaji
- broadcaster
- muuguzi au nesi
- nurse
- Mwalimu
- teacher
- mwandishi wa habari
- journalist
- mwanasanaa
- artist
- mwimbaji au mwanamuziki
- musician
- profesa
- professor
- Refa
- referee
- rubani
- pilot
- wakili
- lawyer
- Staafu
- retire
- kasisi
- pastor
- dereva
- driver
- mfanyibiashara
- businessman/woman
- mbunge
- congressman/woman
- Mlinzi
- guard
- mshauri
- advisor
- Muigizaji
- actor/actress
- mwanajeshi
- military officer
- naibu raisi
- deputy president
- Raisi
- president
- seneta
- senator
Kusema kuhusu familia na kazi
#
Je, baba yako anafanya kazi gani?
Unaweza kusema:
-
Baba yangu ni mwalimu.
-
Baba yangu anafanya kazi ya ualimu.
Zoezi I: Familia na Kazi
Je familia yako hufanya kazi gani?