Zoezi I: Nambari ya simu
Complete the dialogue below between Jamila and Rafiki. You will be Jamila’s rafiki.
Jamila: Hujambo rafiki?
Rafiki:
Jamila: Salama rafiki yangu. Je, una simu?
Rafiki:
Jamila: Nambari yako ya simu ni gani?
Rafiki: ___. Nawewe je?
Jamila: Nambari yangu ni tatu mbili saba – nne tano sita – tisa moja sufuri nane (327-456-9104).
Rafiki: Asante, nitakupigia jioni.
Jamila: Nitashukuru. Kama sitaweza kuipokea, tafadhali niandikie ujumbe.
Rafiki: Sawa. Kwaheri.
Jamila: Kwaheri.
Zoezi II: Vivumishi vya Nambari/Adjectives of Quantity and Quality
As we previously mentioned, adjectives are marked using the noun class markers. We shall use M/WA nouns that we have learned so far to demonstrate how numbers are marked when used as adjectives. Follow the examples given below to complete the table of nouns, adjectives of quantity/quality, and the verbs.
NC | NCM | Noun | Quantity | Quality | Verb |
---|---|---|---|---|---|
M | a- | mbwa | (1) mmoja | mzuri | Alicheza |
WA | wa- | mbwa | (2) Wawili | wazuri | walicheza |
M | a- | babu | (1) | ____refu | ______tembea |
WA | wa- | babu | (3) | ____refu | ______tembea |
M | a- | bibi | (1) | _____cheshi | ______cheka (laugh) |
WA | wa- | (4) | _____cheshi | ______ cheka | |
M | a- | (1) | ______nene | ______soma | |
WA | wa- | baba | (5) | ______nene | ______soma |
M | a- | mama | (1) | ______dogo | _______nunua |
WA | wa- | (6) sita | ______dogo | ______nunua | |
M | a- | dada | (1) | ______rembo | ______imba |
WA | wa- | (7) saba | _____rembo | ______imba | |
M | a- | (1) | _____fupi | ______fanya mazoezi | |
WA | wa- | kaka | (8) | _____fupi | ______fanya mazoezi |
M | mpenzi | (1) | ______zuri | ______pika | |
WA | (9) | _____zuri | ______pika | ||
M | paka | (1) | _____dogo | ______lala | |
WA | (10) kumi | _____dogo | ______lala |
Note: 6, 7, 9, and 10 are not marked because they are borrowed from Arabic.
Zoezi III: Je, mko wangapi katika familia yako?
i. Nina babu wawili
ii.
iii.
iv.
v.
vi.
vii.
viii.
ix.
x.
Zoezi IV: Je, watu katika familia yako wana miaka mingapi?
i. Babu yangu ana miaka ______________________.
ii.
iii.
iv.
v.
vi.
vii.
viii.
ix.
x.
Zoezi V: Je, watu katika familia walizaliwa lini?/walizaliwa mwak gani?
i. Bibi yangu alizaliwa mwaka wa elfu moja na mia tisa na hamsini (1950).
ii.
iii.
iv.
v.
vi.
vii.
viii.
ix.
x.
Zoezi VI: Wanyama wa Nyumbani (pets)
Je, una wanyama wangapi wa nyumbani?
Je, wanyama wana miaka mingapi?
Zoezi VII: Kuhesabu pesa
Convert the Kenyan shillings shown in the pictures below into Tanzanian shillings, Ugandan shillings, and the US dollar
Shilingi ya Tanzania Shilingi ya Uganda Dola ya Marekani
Shilingi ya Tanzania Shilingi ya Uganda Dola ya Marekani
Shilingi ya Tanzania Shilingi ya Uganda Dola ya Marekani
Shilingi ya Tanzania Shilingi ya Uganda Dola ya Marekani
Shilingi ya Tanzania Shilingi ya Uganda Dola ya Marekani
Shilingi ya Tanzania Shilingi ya Uganda Dola ya Marekani
Shilingi ya Tanzania Shilingi ya Uganda Dola ya Marekani
Shilingi ya Tanzania Shilingi ya Uganda Dola ya Marekani
Ordinal Numbers #
You can use the numbers to rank nouns such as
-
Mimi ni mtoto wa nne katika familia.
a. Je, wewe ni mtoto wa ngapi katika familia?
-
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu.
a. Je wewe ni mwanafunzi wa mwaka wa ngapi (mwaka gani?) katika chuo kikuu?
Zoezi VIII: Insha Kuhusu Rafiki Yangu
Andika insha kuhusu rafiki yako kwa kutumia vidokezo vifuatavyo/Write an essay about your friend using the following pompts. Respond to the prompts in one paragraph.
i. Jina lake ni nani?
ii. Anatoka wapi? (nchi, jimbo, mji)
iii. Anakaa/anaishi wapi?
iv. Ana kaka au dada?
v. Ana nini? (paka, mbwa,…)
vi. Anaenda chuo gani?
vii. Anaendaje chuoni?
viii. Anasoma nini?
ix. Anasema lugha ngapi?/gani?
x. Anapenda nini?
xi. Hapendi nini?
xii. Kwa nini unampenda rafiki yako?