Family, Country, Nationality, and Language

Family, Country, Nationality, and Language

Nchi/Country Uraia/Nationality Lugha/Language
Afrika Kusini/South Afrika Mwafrika Kusini Kizulu, Kikhosa, Kiingereza, …
Marekani/America Mmarekani Kiingereza/English
India Mhindi Kihindi
Italia/Italy Mtaliano Kitaliano
Kanada/Canada Mkanada Kiingereza na Kifaransa/french
Kenya Mkenya Kiswahili, Kiluhya, Kikuyu, Kiingereza ..
Misri/Egypt Mmisiri Kiarabu/Arabic
Meksiko/Mexico Mmeksiko Kihispania
Nigeria Mnaigeria Kiyoruba, Kihausa, Kiingereza …
Polishi/Poland Mpolishi Kipolishi
Rwanda Mrwanda Kirundi, Kihutu, Kitutsi, Kiswahili, Kifaransa
Tanzania Mtanzania Kiswahili, Kihaya, Kimaasai …
Uchina/China Mchina Kichina
Ufaransa Mfaransa Kifaransa
Uganda Mganda Kibaganda, Kiteso, Kiswahili, Kiingereza …
Ugiriki/Greece Mgiriki Kigiriki
Uhispania/Spain Mhispania Kihispania
Uholanzi/Holland Mholanzi Kiholanzi
Uingereza/UK Muingereza Kiingereza
Ujapani/Japan Mjapani Kijapani
Ujerumani/Germany Mjerumani Kijerumani
Ureno/Portugal Mreno Kireno
Urusi/Russia Mrusi Kirusi
Uswidi/Sweden Mswidi Kiswidi
Uswizi/Switzerland Mswizi Kiswizi
Uturuki/Turkey Mturuki Kituruki

Zoezi I: Kusema Kuhusu Familia

  1. Je, watu katika familia yako wanatoka/walitoka wapi?

    a. Babu yangu, baba wa baba, anatoka Kenya.

    b.

    c.

    d.

    e.

    f.

    g.

    h.

    i.

    j.

  2. Je, watu katika familia yako ni raia wa nchi gani?

    a. Babu yangu, baba wa baba, ni raia wa Kenya. Kwa hiyo, yeye ni Mkenya.

    b.

    c.

    d.

    e.

    f.

    g.

    h.

    i.

  3. Je, watu katika familia yako wanasema lugha gani?

    a. Babu yangu, baba wa baba, anasema Kiswahili na Kiingereza kidogo.

    b.

    c.

    d.

    e.

    f.

    g.

    h.

    i.

    j.

Unatoka Wapi na Unaishi Wapi?/Where Are You From and Where Do You Live? #

i. Mimi ninatoka katika nchi ya Kenya

ii. Mimi ninatoka katika kaunti ya Nairobi

iii. Mimi ninatoka katika mji wa Nairobi

Kwa hiyo: Mimi ninatoka katika mji wa Nairobi, kaunti ya Nairobi, nchi ya Kenya.

Lakini sasa, mimi ninaishi katika mji wa Evanston, jimbo la Ilinois, nchi ya Marekani.

Sarufi: Notice that nchi, kaunti, mji, and jimbo take different forms of -a. This is because they belong to different noun classes. We shall learn more about the use of this -a in the later units.

Zoezi II: Je, watu katika familia yako wanatoka wapi na wanaishi wapi?

i.

ii.

iii.

iv.

v.

vi.

vii.

viii.

ix.

x.

Zoezi II: Umetembelea wapi?/Where have you visited?

i. Mimi nimetembelea nchi ya/nchi za ….

ii. Mimi nimetembelea jimbo la/majimbo ya …

iii. Mimi nimetembelea mji wa/miji ya …