Nchi/Country | Uraia/Nationality | Lugha/Language |
---|---|---|
Afrika Kusini/South Afrika | Mwafrika Kusini | Kizulu, Kikhosa, Kiingereza, … |
Marekani/America | Mmarekani | Kiingereza/English |
India | Mhindi | Kihindi |
Italia/Italy | Mtaliano | Kitaliano |
Kanada/Canada | Mkanada | Kiingereza na Kifaransa/french |
Kenya | Mkenya | Kiswahili, Kiluhya, Kikuyu, Kiingereza .. |
Misri/Egypt | Mmisiri | Kiarabu/Arabic |
Meksiko/Mexico | Mmeksiko | Kihispania |
Nigeria | Mnaigeria | Kiyoruba, Kihausa, Kiingereza … |
Polishi/Poland | Mpolishi | Kipolishi |
Rwanda | Mrwanda | Kirundi, Kihutu, Kitutsi, Kiswahili, Kifaransa |
Tanzania | Mtanzania | Kiswahili, Kihaya, Kimaasai … |
Uchina/China | Mchina | Kichina |
Ufaransa | Mfaransa | Kifaransa |
Uganda | Mganda | Kibaganda, Kiteso, Kiswahili, Kiingereza … |
Ugiriki/Greece | Mgiriki | Kigiriki |
Uhispania/Spain | Mhispania | Kihispania |
Uholanzi/Holland | Mholanzi | Kiholanzi |
Uingereza/UK | Muingereza | Kiingereza |
Ujapani/Japan | Mjapani | Kijapani |
Ujerumani/Germany | Mjerumani | Kijerumani |
Ureno/Portugal | Mreno | Kireno |
Urusi/Russia | Mrusi | Kirusi |
Uswidi/Sweden | Mswidi | Kiswidi |
Uswizi/Switzerland | Mswizi | Kiswizi |
Uturuki/Turkey | Mturuki | Kituruki |
Zoezi I: Kusema Kuhusu Familia
Je, watu katika familia yako wanatoka/walitoka wapi?
a. Babu yangu, baba wa baba, anatoka Kenya.
b.
c.
d.
e.
f.
g.
h.
i.
j.
Je, watu katika familia yako ni raia wa nchi gani?
a. Babu yangu, baba wa baba, ni raia wa Kenya. Kwa hiyo, yeye ni Mkenya.
b.
c.
d.
e.
f.
g.
h.
i.
Je, watu katika familia yako wanasema lugha gani?
a. Babu yangu, baba wa baba, anasema Kiswahili na Kiingereza kidogo.
b.
c.
d.
e.
f.
g.
h.
i.
j.
Unatoka Wapi na Unaishi Wapi?/Where Are You From and Where Do You Live? #
i. Mimi ninatoka katika nchi ya Kenya
ii. Mimi ninatoka katika kaunti ya Nairobi
iii. Mimi ninatoka katika mji wa Nairobi
Kwa hiyo: Mimi ninatoka katika mji wa Nairobi, kaunti ya Nairobi, nchi ya Kenya.
Lakini sasa, mimi ninaishi katika mji wa Evanston, jimbo la Ilinois, nchi ya Marekani.
Sarufi: Notice that nchi, kaunti, mji, and jimbo take different forms of -a. This is because they belong to different noun classes. We shall learn more about the use of this -a in the later units.
Zoezi II: Je, watu katika familia yako wanatoka wapi na wanaishi wapi?
i.
ii.
iii.
iv.
v.
vi.
vii.
viii.
ix.
x.
Zoezi II: Umetembelea wapi?/Where have you visited?
i. Mimi nimetembelea nchi ya/nchi za ….
ii. Mimi nimetembelea jimbo la/majimbo ya …
iii. Mimi nimetembelea mji wa/miji ya …